HII NI KAZI YA POLISI SI WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MIKONONI? HII KITU NAPINGANA NAYO MNAUA WENGINE HAWANA HATIA INASIKITISHA SANA!
1 comment:
Anonymous
said...
aziz bilalIgår 22:02
1 Svara
Napia tusikae kimya na kuangalia vitendo vya uvunjaji wa sheria vikiendelezwa bila hata serikali yetu kulizungumzia suala hilo wamebakia kusema tuu na ilhali watu wasiokuwa na hatia wakiendelea kuuwawa kinyama.Tena kwa lengo na nia ile ile waliua lwa student hivi karibuni kule kama sijakosea Iringa.Hatuwezi kunyamaza na hivi sasa nipo mbioni kuipeleka serikali ya Tanzania ktk cases zinazochunguzwa na watu wa human rights.
1 comment:
aziz bilalIgår 22:02
1
Svara

Post a Comment