Saturday, 24 January 2015

WATENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA WAFANYA ZIARA YA MAENEO YA MATEVEZ NA USA RIVER KUTAKAKOANZA KUJENGWA MIJI MIWILI YA KISASA

Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, waliokuwa katika kongamano la wiki nzima la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine lililokuwa likifanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha wakiwa katika eneo la NHC Burka/Matevez kutakakoanza kujengwa mji mpya wa kisasa‘satelite city’ wa Safari City jijini Arusha. Eneo hilo la ukubwa wa takriban ekari 500 ambapo zitajengwa nyumba zaidi ya 7000 utakuwa na mahitaji yote muhimu kama maduka makubwa, makazi ya watu, huduma za afya, shule, na ofisi.

 Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, waliokuwa katika kongamano la wiki nzima la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine lililokuwa likifanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha wakiwa katika eneo la NHC Burka/Matevez kutakakoanza kujengwa mji mpya wa kisasa wa Safari City jijini Arusha.
 Eneo la NHC Burka/Matevez kutakakoanza kujengwa mji mpya wa kisasa wa Safari City jijini Arusha.

 Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, waliokuwa katika kongamano la wiki nzima la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine lililokuwa likifanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha wakiwa katika eneo la NHC USA RIVER kutakakoanza kujengwa mji mpya wa kisasa wa USA River jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara David Shambwe na Meneja wa Uendelezaji Biashara, William Genya wakiwa katika eneo la NHC USA RIVER kutakakoanza kujengwa mji mpya wa kisasa wa USA River jijini Arusha.
  Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, waliokuwa katika kongamano la wiki nzima la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine lililokuwa likifanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha wakiwa katika eneo la NHC USA RIVER kutakakoanza kujengwa mji mpya wa kisasa wa USA River jijini Arusha.
Eneo la NHC USA RIVER kutakakoanza kujengwa mji mpya wa kisasa wa USA River jijini Arusha

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!