2014 ni mwaka wenye historia kubwa kwenye burudani, muziki ni moja ya vitu vilivyoiweka Tz kwenye headlines za Kimataifa, mastaa wengi wamewakilisha vizuri nje, sitashangaa 2015 Tz ikapaa juu zaidi kwenye level za Kimataifa!
Tumeona wasanii wetu wakitumia models mbalimbali kutoka nje kwenye video zao, ni fahari kwetu tena, staa wa mitindo Bongo, Tanzania Supermodel Millen Magese kuonekana kwenye video ya staa wa muziki kutoka Nigeria, Banky W kwenye wimbo wake mpya, ‘Lowkey’ .
Millen ameigiza kama mwalimu ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mwananfunzi wake, video imefanywa New York city.
Mcheki hapa sasa, staa wetu Millen Magese na Banky W.
VIA-MILLARDAYO:COM
No comments:
Post a Comment