Saturday, 31 January 2015
SERINA WILLIAM ANYAKUA KOMBE TENA KATIKA FAINALI YA WANAWAKE ( WOMEN SINGLE)AUSTRALIAN OPEN 2015
Serina William ameshinda Kombe katika fainali ya Tennis (Australian Open) iliyomalizika hivi punde. William amepata ushindi huo dhidi ya mpinzani wake Maria Sharapova ambaye pia ni mshindi namba mbili wa dunia katika michezo ya Tennis kwa wanawake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment