Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Mashekhe wa
Bagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkesha
wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani (PICHA NA IKULU)
katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa PwaniRais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa
Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika
kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya
wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni
Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze,
No comments:
Post a Comment