Tuesday, 20 January 2015

PERIWINKLE FLOWERS!


Multcolored Periwinkle






Maua haya wengi wetu tunayafahamu, ni maua yanayovumilia sana shida, ila hayana bahati ya kupendwa saana, na ndio maana si maarufu sana, kiukweli maua haya ukiyapanda kwenye chungu cha maua, yakajaa yanapendeza sana tena sana, napia yako katika rangi mbalimbali.Jaribu kupanda kivingine zaidi ya vile tulivyozowea kuyapanda chini tambalare.







Blue Periwinkle!


Madagascar Periwinkle!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!