Pages

Sunday, 25 January 2015

WENGINE WANATAFUTA WATOTO HUKU WENGINE WANATUPA -MTOTO WA KATI YA MIEZI MINNE HIVI ATUPWA NA KUOKOTWA NA DINA MARIOUS MUNGU AKUBARIKI SANA DINA!

http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10919112_407636222736794_353886209_n.jpg

 Leo tunalea mtoto tumemuokota mama yake kamtupa.Ameokotwa mitaa ya nyumbani kwangu kwenye majani.
Tushampa jina anaitwa Comfort sio mimi nilompa jina lakini.


http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10919524_1653497888211148_462297742_n.jpg


 http://photos-f.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10932630_327594670781645_1932046470_n.jpg

 Mama wa mtoto huyu kamtupa amekesha usiku kucha kwenye majani akilia mpaka sauti imekauka.Ameng'atwa na mbu kila mahali kalikuwa kamejinyea kananuka pengine hakakuoga siku tatu.
http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10950592_1003759189653572_1721958496_n.jpg





















Baada ya kushiba usingizi maana amekesha manyasini.Huo uso ni mbu hizo.Mama ake alimuacha na kirambo cha nguo chafu na kipande cha sabuni ili watakaomuokota wafue nguo.

CRD: Blog ya wananchi.

1 comment:

  1. Mwenyezi mungu atakujaaliya kwa huruma mapenzi na roho yako safi utajaaliwa kupata mengi sana hata zaidi ya huyo mtoto ningependelea jina mngemuita Blessings au Baraka.

    ReplyDelete