Wednesday, 21 January 2015

KUTANA NA MAPACHA WALIOOUNGANA WAKIWA WANASHARE BWANA MMOJA


- Wanadai baada ya kukaa kwa muda mrefu walipata mume, Ahmad (36) Wanesema toka waanzishe mahusiano na kijana huyu imekuwa faraja kwao kwani wamepata chaguo sahihi la mtu anayewapenda kwa upendo wa hali juu bila ya kujali hali zao.




Wanajulikana kwa majina ya Ganga pamoja na Jamuna Mondal wakiwa na umri wa miaka 45 waliongana wakiwa ni raia wa nchi ya India walizaliwa mapacha,lakini cha ajabu ni kwamba wanashare bwana mmoja kutoka na na tatizo lao la kuungana kwa viungo vyao wakiwa na mikono minne na miguu mitatu wakijulikana zaidi kama Spiders Sister katika sehemu wanapo aishi,ndugu hao wanasemawalikaa kwa muda zaidi ya miaka saba bila ya kupata marafiki wakiwa shuleni 
Ndugu hao wansema baada ya kukaa kwa muda mrefu walipata mchumba ambaye mpaka sasa ndio mume wao anajulikana kwa jina Ahmad ambaye ana umri wa miaka 36.Mapacha hawa wanesema toka waanzishe mahusiano na kijana huyu imekuwa faraja kwao kutokana wamepata chaguo sahihi la mtu anayepanda kwa upendo wa hali juu bila ya kujali hali zao hizi ni baadhi ya picha wakiwa pamoja na mpenzi wao Ahmad 




VIA-JMF

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!