Wednesday, 28 January 2015

DUNIA HAIISHI VITUKO! KUTANA NA HUYU MCHUNGAJI ANAYEWAAMBIA WAUMINI KUANGALIA VIDEO YAKE AKIWA MTUPU




Mchungaji Sthembiso Zondo akiwa uchi huku akiongea na simu 













Mchungaji maarufu nchini Afrika Kusini amabaye anatoa mahubiri muhimu katika kipindi kimoja cha radio maarufu nchni humo, ametangazwa katika vyombo vya habari nchini humo kwa uchafu alioufanya baada ya kuonekana katika video akitembea uchi huku anaongea na simu yake ya mkononi



Shirika la utangazaji nchini Afrika Kusini  {South African Broadcasting Corporation (SABC)} wamesitisha vipindi vyote vinavyoendeshwa na mchungaji huyo kupitia vyombo vya habari mpaka hapo itakapo tangazwa vinginevyo
 
Uamuzi huo umeffikiwa baada ya kuonekana video iliyomuonesha mchungaji huyo katika hali tatanishi, katika video hiyo Zondo alionekana akiwa uchi huku akiogea na simu yake ya mkononi

Video hiyo ilikuwa ikirekodiwa na msichana aliyeonekana akiwa amevaa sketi ya pink, lakini msichana huyo hakufahamika
 
Zondo aliwaambia wafuasi wake mjini Durban kwamba inabidi waiangalie video hiyo mara kwa mara ili waoanishe uzoefu wake na matatizo yao waliyonayo katika maisha yao ya kila siku

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!