Diamond Platnumz ameingia tena kwenye Top 10 ya Trace TV ya Ufaransa
kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa, ambacho leo Jan 21 kilitoa list ya top 10 ya nyimbo kali za Afrika ikiwemo ya Diamond Platnumz iitwayo Nitampata Wapi.
No comments:
Post a Comment