Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa amebebwa na wacheza shoo wake siku ya mwaka mpya kwenye uwanja wa Amahoro Kigali, Rwanda na kukonga nyoyo za mashabiki wake waliokuwa wamefurika kwenye uwanja huo ili kumshuhudia mwanamuziki huyo maarufu Afrika na Dunia kwa sasa hebu angalia matukio ya picha wakati wa onyesho holo kubwa na la kukaribisha mwaka 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment