Monday 8 December 2014

YALIYOJIRI HUKO SOUTH AFRICA BAADA YA IDRIS SULTAN ALIYEWEKA HISTORIA FAINALI ZA BBA AFRIKA !


Leo ni siku ya 63 tangu yaanze mashindano ya Big Brother Africa, ndiyo siku ambayo imefanyika fainali ya #BBAHotshots kwa mwaka huu 2014.



Labda nikukumbushe kwamba Tanzania ndiyo nchi pekee iliyokuwa imebakiwa na mshiriki wake ndani ya Jumba la BBA katika ukanda wa Afrika Mashariki na tuliona namna ambavyo mastaa wengi wakitoa support kubwa kwa mshiriki huyo ambaye ni Idris.

Hatimaye usiku huu wa Desemba 07 historia nyingine imeandikwa Afrika, ambapo mwakilishi huyo kafanikiwa kuibuka mshindi.

tanzania, Idris Sultan amejishindia Dola za Kimarekani 300,000 baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Big Brother Africa (Hot Shots)


Idris is the Winner!



Mtanzania, Idris Sultan amejishindia Dola za Kimarekani 300,000 baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Big Brother Africa (Hot Shots)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!