Wednesday 10 December 2014

SOMA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI SERIKALINI



SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA



Kumb. Na EA.7/96/01/H/21 06 Desemba, 2014
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya College of Business Education (CBE), Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), National Audit Office (NAO), Tanzania Airpots Authority (TAA), Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA), Tanzania Public Service College (TPSC), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anatarajia kuendesha usaili na hatimae kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Usaili utaanza saa moja kamili asubuhi (1:00) na utafanyika mahali na tarehe kama inavyoonesha katika nafasi husika.
2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi, kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k
3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji.
4. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyia usaili.
8. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
9. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
10. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo, hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.



***DOWNLOAD THE ATTACHMENT BELOW***

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!