Thursday 11 December 2014

PSPF WAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO KWA WANACHAMA WA MFUKO HUO KUPITIA TPB.

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (Wapili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, (TPB), Sabasaba Moshingi, (Wakwanza kushoto) na Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, wakishikana mikono kuashiria uzinduzi wa huduma mpya za mikopo kwa wanachama wa Mfuko huo kupitia TPB jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Desemba 11, 2014


Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, akielezea huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba yake
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, TPB, Sabasaba Moshingi, akitoa hotuba yake

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa PSPF, Masha Mshomba, akitoa shukrani kwa walkiohudhuria hafla hiyo

Mgeni rasmi Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, na viongozi wa juu wa PSPF,na TPB, wakiwa katika picha ya pamoja

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo, akitoa hotuba yake

Baadhi ya wafanyakazi wa TPB, na PSPF, waliohudhuria hafla hiyo wakifuatilia mambo yanavyokwenda

Wazirti Kabaka (Katikati), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, (Kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, wakibadilishana mawazo baada ya uzinduzi huo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!