Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014 wakijitambulisha baada ya onyesho hilo. Chakula hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na balozi wa Sweden nchini, Bw.Lennarth Hjelmaker, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment