Thursday 4 December 2014

MPIGIE KURA MISS TANZANIA KWENYE MISS WORLD KWA KUFUATA HATUA ZIFUATAZO



"Usahishaji wa kula kwa Leo tuna Kura 87 ukilinganisha na washiriki wengine wa ‪#‎MissWorld2014‬. Tanzania tupo nafasi ya 75" - Miss Tanzania. ___ Guys For Real? Yani watu 87 tu katika Millions ya watanzania ndio "TumeVote".... Tumekua wavivu au?... Miss World App unaweza ukaipata kama unavyoDownload Instagram au Facebook kwenye simu yako.... ‪#‎AppStore‬ ‪#‎GooglePlay‬ unapata ‪#‎MissWorldApp‬. Download now and VOTE na msitue mwenzako awe Mzalendo na tuache Uzalendo wa Maneno tu. VOTE NOW For Your Country... Miss Tanzania wetu "Work So Hard" kutuwakilisha... VOTE for Her and for Tanzania NOW!!! ‪#‎Happiness4MissWorld2014‬




2 comments:

Nawazz said...

Kya apne Is App ko Avi tak try nhi kia Super Mario Run Mod Apk

Nawazz said...

I love your article. you can visit my website Crossout Mobile Mod Apk

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!