Tuesday 9 December 2014

KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker





Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa 

kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo 

ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa 

yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii 

maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.
Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.
Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado 
halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa tutakujuza.
ILA KWA SASA TUACHE PROJECT IENDELEE

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!