Friday, 5 December 2014

HII IMENISIKITISHA SANA, WANANCHI SHERIA MKONONI SASA WANACHOMA HATA WANAWAKE!

Wakati hali inazidi kuwa mbaya kiuchumi watu wakiwaza watapata wapi pesa masikini kibaka huyu ambaye ni mdada alipo kurupukia mali ya watu na kunaswa na wanainchi walijichokea pasipo na huruma wala kujali kuwa Huyu ni mdada walimtia kibiliti live huku anaona. inasikitisha kwani tumezoea kuona vibaka wa kiume mara nyingi ila wanawake nao wamosiku hizi.

HABARI NA PICHA KWA HISANI YA BONGO PLUS.

2 comments:

Anonymous said...


Hiyo imetokea ktk nchi gani?ukatili kama huu hata tunafikia kuwafanyia mpaka wanawake zetu hii ni aibu sana,watu wanafikia mpaka wanaichoma generation ya kesho,kumbukeni kumuuwa mwanamke yeyote ni kucheza na generation ijayo na mwenyezi mungu atakasirika na hatma yake tutakuja kuiona siku si nyingi

Anonymous said...


GOD HELP US THIS IS BAD

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!