
MAFUA MAKALI'INFLUENZA'-Kawaida hutajwa kama flu,ni ugonjwa wa uambukizo na husababishwa na kirusu kile kinachoathiri ndege na wanyama'RNA'.CHANZ0-
Mchanganyiko wa hewa na chembechembe ndogondogo za dutu zilizo angani-Kupitia hewa ya kukohoa au kupiga chafya moja kwa moja kwenye macho,pua au mdomoni mwa mtu mwingine-Kugusana moja kwa moja kama vile kushikana mkono-Kugusana na vitu ambavyo vimeambikizwa kams vitasa,komeo nk.-Kirusi kuishi nje ya mwili na kuambukizana kwa njia ya swichi za umeme na vifaa vingine vya nyumbani.AINA ZA VIRUSI VYA MAFUA MAKALI:-VIRUSI VYA INFLUENZA A-Ni ains ya vimelea vikali vinavyoeneza ugonjwa kwa binadamu-VIRUSI VYA INFLUENCE B-Hushambulia tu binadamu na hutokea mara chache kuliko aina A-VIRUSI VYA INFLUENA C-Huambukiza binadamu,mbwa na nguruwe hatari hivyo hutokea kwa uchache zaidi kuliko aina hizo zingine na husababisha ugonjwa usio mkali kwa watoto.
DALILI-Hufanana sana na mafua ya kawaida lkn hutambulika kwa homa kali,baridi na uchovu-Wengine huugua sana kiac kwamba hulala kwa cku kadhaa wakiwa na maumivu makali mwili mzma zaid mgongoni na miguuni.-Homa-Kikohozi-Kutokwa makamasi-Maumivu mwili mzma,kichwa,kiuno na mgongo-Macho mekundu na kuharisha,maumivu ya tumbo.NB-Kawaida kuharisha siyo dalili ya mafua makali kwa watu wazima ingawa hujitokeza ktka baadhi ya wagonjwa wa H5N1'mafua ya ndege'NJIA ZA KUPUNGUZA KUENEA KWA INFLUENZA:-Afya nzuri ya mtu binafc na mazoea ya usafi kama vile kutokugusa macho,pua na mdomo-Kunawa mkono mara kwa mara kwa sabuni na maji-Kufunika mdomo au pua wakati wa kukohoa/Chafya-Kuepuka kugusa wenye ugonjwa-Epuka kutema mate-Kuvuta sigara huongeza hatari ya kupata mafua na dalili ya ugonjwa-Kwa vile mafua makali huenea kupitia hewa na kushika vitu usafishaji wa sehemu za juu za vitu huweza kuzuia baadhi ya maambukizi.-
Kunywa vimiminika vingi-Epuka kutumia kileo au tumbaku.TIBA-Hutegema vipimo,udogo au ukubwa wa tatizo
No comments:
Post a Comment