Brandy ni mwanadada aliyetamba sana kimuziki miaka ya nyuma, pamoja na kuwa maarufu wa muziki wa RnB alitamba sana pia kwa staili ya pekee ya misuko ya nywele mtindo wa Rasta.

Akiwa katika style nyingine tofauti na Rasta hivi ndivyo alivyo kwa sasa!!

No comments:
Post a Comment