

Maua haya wengi huyapanda kama fensi, uzio lakini ukiyapanda kwa aina hii na pia waweza kuchanganya rangi mbalimbali hupendeza zaidi..


Aina hii ya maua hustawi pia sehemu ya joto, utunzaji tu ndio muhimu, maji ya kutosha na mbolea kidogo, ukizidisha sana mbolea mizizi inaoza!














1 comment:
Aina ya pili ya picha uitwaje
Post a Comment