skip to main |
skip to sidebar
TBC KUONESHA LIVE JK AKIONGEA NA WAZEE WA DODOMA
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tzIMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU,NOVEMBA 4, 2014
No comments:
Post a Comment