TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YASAIDIA WASIOWEZA KUSIKIA MJINI MOSHI
Mwanzilishi wa taasisi hiyo, Bill Austin na mkewe Tani wamekuwa wakiongoza zoezi hilo toka lilipoanza majira ya saa mbili asubuhimjini Moshi jana.
TAASISI ya Starkey Hearing Foundatioin ikitoa huduma ya kliniki kwa kuwawekea vifaa vya kuongeza usikivu masikioni kwa watu zaidi ya 1000 wenye matatizo ya kusikia katika Mkoa wa Kilimanjaro shughuli iliyoanza jana kwenye viwanja vya Shree Hindu Mandal vilivyopo kando ya barabara ya Mawenzi mjini Moshi .
ESTHER Urassa ambaye naye ana tatizo la kusikia akipewa huduma hiyo kabla ya kuwasaidia wenzie.
Lina John ambaye ni kipofu akipima kiwango cha sauti kwenye kidevu chake ili kama mtoto Ronald anaweza kusikia mara baada ya kuwekewa kifaa cha kuongeza usikivu:
No comments:
Post a Comment