Weekend ya leo dizain kama jiji litaamia pale New Maisha Club kwenye usiku wa Mirror’s Road to Success kwa kiingilio cha sh. 10,000 Tu. Utapata burudani kibao ndani yake ikiwemo video mpya kutoka kwa Mirror lakini pia atasindikizwa na na mastar kibao kutoka Bongo Flava pamoja na Bongo Movie…
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment