Tuesday, 25 November 2014

MAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI ZIWA NYASA


SONY DSCMkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema  akiwakaribishia wakaguzi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake.SONY DSCKiongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence (Mbele) akiwaongoza wajumbe wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kupanda boti ili kwenda kushuhudia lango la kuingilia Gati la Bandari ndogo ya Itungi. Itungi ni bandari ya kipekee nchini kujengwa mtoni.SONY DSCMkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema  (Kulia) akiwaonesha kitu wajumbe wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakati wakishuhudia lango la kuingilia Gati la Bandari ndogo ya Itungi.SONY DSCMkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema  (Aliyevaa tai) akiwaonesha kitu wajumbe wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo sehemu inapojengwa gati mpya (halionekani) katika Bandari ya Kiwira.SONY DSCWajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipata fursa ya kujionea meli pekee inayotoa huduma ya kusafirisha abiria na mizigo (MV Songea) katika Ziwa Nyasa kwa upande wa Tanzania.
PICHA ZOTE NA SAIDI MKABAKULI

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!