Tuesday, 25 November 2014

KUTOA MSAADA KWA ESTER SAKO PIGA SIMU NAMBA 0767137414


Ester Sako


Ester Sako ni msichana mwenye umri wa miaka 26 alizaliwa
akiwa na ulemavu wa ngozi Albino lakini mnamo mwaka 2011,alipata kipele sehemu za usoni karibu na pua.
Baada ya kupata kipele hicho alikitumbua ndipo majimaji
yalianza kutoka na kusababisha kupata uvimbe ambao kila siku unamsababishia vidonda usoni.
Ester Sako anaishi kwenye kijiji cha Msagara Wilayani
Kishapu Mkoani Shinyanga ambapo kufuatia vidonda hivyo
vilivyoenea usoni kwake anaomba wasamaria wema wajitokeze kumsaidia kwani wakati mwingine vipele hivyo vinatoa wadudu wadogo wadogo weupe.

ILI KUMPA MSAADA ESTER SAKO PIGA SIMU NAMBA 0767137414

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!