Saturday, 29 November 2014

HAYAKUHUSU! BARUA YA WAZI KWA WEMA SEPETU!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXEHoSg5kgQYgmQj2CkPVqCTYDuj32sptGcjC83-jQpuv96-P2GRqtKi73Ixr2xW12Xwb9yN1SjdFM5UVPsjVqtP283e81iUlUb6QkCAPyt87_5mErsPS1P7GVL5Gau-uYtqiaGTMYoGs/s1600/PhotoGrid_1417167146567.jpg



najua wewe ni mrembo sana ,una exposure na unapesa.sawa wanasema mwanamke bila mwanaume haiwezekani ila kwa mimi naona inawezekana jana nimekuona sehemu fulani kinondoni umelewa sana sana...hivi unadhani pombe ndio suruhisho la matatizo yako? tena unakunywa mi pombe mikali halafu wewe mwanamke .iko kizazi kitapona kweli kwa staili hiyo? nikupe siri mdogo wangu wewe ni mzuri sana una nafasi ya kuwa na mwanaume yeyote dunia hii na sio uchafu wa manzese huu unaokupaka paka vikwapa vya kila mwanamke .. kama ungeweza embu ondoka tanzania japo kwa miezi 6 nenda kakae zako nje ya nchi kama ulivyofanya kipindi kile ulipoachana na yule mla unga ..ukirudi utakuwa mpya wema mpya utakuwa umeweza kukaa mbali na huyo domo na utaona unaweza kuishi bila yeye

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!