
Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Mwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...
CHANZO NA SHAFII FB PAGE
Mimi sijui wapi wamekosea,they must have made a mistake somewhere
No comments:
Post a Comment