Friday, 31 October 2014

AJIRA! HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI MWISHO WA KUTUMA MAOMBI 13/11/2014

HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
1. KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (PERSONAL SECRETARY III) NAFASI (1), NGAZI YA MSHAHARA TGS B,
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya Uhazili kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kufaulu mtihani hatua ya tatu
iii. Awe amehitimu mafunzo ya kompyuta kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kupata program za Windows, Microsoft office, Internet, E-mail na Publisher
iv. Awe na umri usiozidi miaka 45
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;

i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 13/11/2014 saa 9:30 Alasiri
Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 400
BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 28 OKTOBA 2014.
=================

2. MTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORD MANAGEMENT ASSISTANT II) NAFASI (1) MOJA, NGAZI YA MSHAHARA TGS B.
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya Utunzaji kumbukumbu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali katika ngazi ya cheti (certificate) katika fani ya masjala
iii. Awe amehitimu mafunzo ya kompyuta kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kupata program za Windows, Microsoft office n.k
iv. Awe na umri usiozidi miaka 45
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 13/11/2014 saa 9:30 Alasiri
Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 400
BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 28 OKTOBA 2014.
==============

3. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III (VILLAGE EXECUTIVE GRADE III) NAFASI (7) SABA, NGAZI YA MSHAHARA TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya cheti (certificate) katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, sheria, Elimu ya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na Sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo kinachotambuliwa na Serikali
iii. Awe na umri usiozidi miaka 45

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
vi. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
vii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
viii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
ix. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
x. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 13/11/2014 saa 9:30 Alasiri
Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 400
BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 28 OKTOBA 2014

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!