Friday, 31 October 2014

AJALI TENA! BASI LA SIMBA MTOTO, LIMEGONGANA NA LORI DARAJA LA WAMI

Basi la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori amefariki na majeruhi kadhaa

Name:  WamiJF.jpg
Views: 0
Size:  77.4 KB

Basi la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori ndio amefariki na majeruhi kadhaa.Njia ilijifunga.







Name:  jf1.jpg
Views: 0
Size:  45.7 KB
Name:  jf2.jpg
Views: 0
Size:  34.6 KB


Name:  jf3.jpg
Views: 0
Size:  37.7 KB

HABARI KAMILI KUKUJIA PINDI TUTAKAPOZIPATA, ENDELEA KUWA NASI.......

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!