Monday, 29 September 2014

MAMA KIKWETE APEWA MASHINE YA KUPIMA SARATANI YA MATITI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA 200,000.


Chama cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani 
(African Women Cancer Awareness Assossiation - AWCAA) 
imemkabidhi Mke wa Rais Mama Salma kikwete mashine 
moja ya Mammogram ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti yenye thamani yazaidi dola za kimarekani laki mbili.

Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington D.C nchini Marekani

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!