Baada ya Diamond Platnumz kumpa wema gari aina ya Nissan Murano kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa basi maswali mengi yamejitokeza kuhusiana na mtu aliyemkabidhi wema gari aina ya BMW nyeupe huku kila mtu akitaja mtu wake lakini leo aliyemkabidhi gari hiyo, manager wake, Martin Kadinda amefunguka haya…
“Yes…. Not only Murano from ya baby @diamondplatnumz this BMW is yours yes…. Suprised kuona jina kwa kadi?? I meant it… this car came from kazi ndogo tufanyazo na support kubwa ya watu who wish you the best always… peke yangu nisingeweza bila support yao. One thing you should know nimejitolea kufanya kazi na wewe because naamini kwa tanzania ur my number one celebrity and my wish is to see u living as a truly superstar…. Make my dreams come true basi.. Wema mimi natembelea vimeo lakini siwezi kukubali wewe ushuke huku.. Wema its hight time u stand and this is high time to understand kuwa wewe ni star and u deserve the best from ya fame…!! People loves u so much…..”
Hii suprise ya pili kutoka kwa baby ake…
No comments:
Post a Comment