Friday 5 September 2014

BREAKING NEWS::AJALI MBAYA YA MABASI YATOKEA MUSOMA ZAIDI YA WATU 30 WAMEFARIKI DUNIA


 Mabasi hayo yakiwa yamegongana 














Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma.  Endelea kufuatilia 

Maelezo kwa Mujibu wa Father Kidevu blog
 



 Mahututi wakikimbizwa wodini



wanainchi wakiwa kwenye simanzi
Watu wakitambua miili ya marehemu
Basi la Mwanza coach limepata ajali eneo la sabasaba likiwa njiani kuelekea mwanza na kuua watu zaidi ya 30 na majeruhi wengi,Taarifa kamili inakujia punde kaa nasi.Picha na Shomari Binda


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!