Wednesday, 20 August 2014

WEZI WAFUKUA KABURI LA MAREHEMU NA KUIBA NGUO ALIZOVISHWA SIKU YA MWISHO- TANGA HUKO!


Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu Agnes Gao aliyekuwa akiishi eneo la zizini wilayani Handeni  mkoani Tanga kisha kuiba mavazi yake ya mwisho aliyovishwa tukio hilo la kusikitisha limekuja siku mbili tu baada ya mwili wa marehemu kuzikwa

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!