Tuesday, 19 August 2014

PICHA ZAIDI ZA AJALI ILIYOTOKEA TABORA! TUUNGANE KWA PAMOJA KATIKA KAMPENI YA KUPINGA MWENDO KASI NA KUHAMASISHA USALAMA KWANZA.

Ajali hizi zimekuwa zikiongezeka kadiri siku zinavyozidi kwenda, na chanzo chake kikubwa kimekuwa ni mwendo kasi wa madereva wa mabasi haya ya abiria ambayo yamekuwa yakiwashinda na kupelekea ajali ambazo husababisha vifo,majeraha na ulemavu wa kudumu kwa ndugu zetu kila siku.












 DEREVA WA BASI LA SABENA ALIYEKATIKA KICHWA


 BASI LA SABENA KABLA YA AJALI
 BASI LA SABENA KABLA YA AJALI

Kama si kaka, basi nia dada,mama,shangazi,mjomba,shemeji,mke,mchumba na hata rafiki au jirani yako ambaye leo kampoteza maisha katika ajali hii ya iliyotokea katika eneo la mkolye wilaya ya sikonge mkoani Tabora.

TUUNGANE KWA PAMOJA KATIKA KAMPENI YA KUPINGA MWENDO KASI NA KUHAMASISHA USALAMA KWANZA.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!