
Ili wasimamizi wako wapendeze zaidi lazima stail zao zifanane mwanzo wa nywele mpaka kiatu, wengi wanavaa sare tu, lakini stail za nywelr viatu tofauti, kama nywele ni za upande mmoja basi wote wabane upande mmoja, si mwingine kabana katikati, mwingine Afro, inapunguza maana ya sare! na haivutii sana!
















No comments:
Post a Comment