
Burundi imejitenga kwa muda kutoka Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na kubaki kama waangalizi (Observers) kutokana na kushindwa kumudu gharama za vikao ambavyo ni 6 kwa mwaka
- Aidha, imesisitiza kuwa haitajiondoa katika jumuiya hiyo na itarudia katika uanachama wake wa kawaida hali ya uchumi wake utakapotengamaa
VIA-DW













No comments:
Post a Comment