Friday, 4 July 2014

Watu wawili wajeruhiwa kwa kinachodhaniwa kuwa ni bomu Arusha.

Watu wawili akiwemo Mkurungenzi wa taasaisi ya Ansurisuna kanda ya kaskazin Shekhe Sudi Ally Sudi wamejeruhiwa vibaya na kitu kinachohisiwa kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono usiku wa kuamkia leo eneo la majengo jiji Arusha.

Chanzo Radio One

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!