Pages

Monday, 28 July 2014

VIONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WAFIKISHWA MAHAKAMANI KINONDONI KWA KESI YA KUTUPA MAITI ZA WATU HUKO BUNJU


 Watuhumkiwa wakiwa katika gari la polisi .
Viongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) cha Dar es salaam wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni leo wakikabiliwa na mashtaka ya kutupa ovyo viungo vya binadamu. Wakati taarifa kamili ikiandaliwa hebu jionee taswira hizi walipofikshwa mahakamani leo



 Watuhumiwa wakipanda gari baada ya kusomewa mashitaka



 Watuhumiwa wakitoka mahakamani baada ya kusomewa mashitaka


Watuhumiwa wakiwa wanasubiri kuingia mahakamani.

Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii

No comments:

Post a Comment