Wednesday, 30 July 2014
SOMETIMES TUTAFAKARI OUR LIFE!!-LEMUTUZ
LE MUTUZ LIVE!!:- LEO NILIAMUA KULA EID MUBARAK NA WAHANGAIKAJI WA MAISHA MTAANI KWA MAMA NTILIE BINTI ATHUMAN KARIBU NA OFISI ZA MY BLOG, MASIKINI MAMA WA WATU AMELIA MACHOZI KWA FURAHA NILIPOMLIPA HELA ZA CHAKULA CHAKE CHOTE CHA LEO JUMLA SHILLINGI ELFU ISHIRINI NA TANO TU! AMBAZO JANA USIKU NIMELIPIA MABEBZ KUNYWA MAPOMBE ZA KUHARIBU VICHWA VYAO NA HUKU HIZO HIZO PESA ZINAWEZA KUSAIDIA MAMA KAMA HUYU JAMANI SOMETIMES TUTAFAKARI OUR LIFE!! - LE BIG SHOW
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment