Wengi tumezoea kuamini kuwa vitu vya thamani ndio vinapendezesha nyumba, pangilia rangi na usipende kuweka mapambo mengi maua kila kona, kumbuka kila kiytu kikizidi kinachosha na hata madhara, utakapojaza makorokoro mengi, mapicha huku na huku inakuwa kazi hata kufanya usafi, na nyumba yako itakosa hewa na ni hatari kiafya!
No comments:
Post a Comment