Pages

Monday, 28 July 2014

RONALDO ATOA MABILIONI YA PESA KUWASAIDIA WAHANGA WAPALESTINA DHIDI YA MASHAMBULIZI YA ISRAEL....



Cristiano Ronaldo ametoa kiasi cha 1.200.000€ kwa wahanga wa vita huko Palestine, hapa mpalestina akimpa zawadi ya Quran CR7.

CRD_ THE CHOICE

1 comment:

  1. King Dallas


    Sio jeuri pesa bali ameguswa na mauaji yanayofanywa na waizrael.Ameonyesha Utu ni bora kuliko kitu

    ReplyDelete