Sunday, 6 July 2014

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA TANTRADE LEO


2Rais Jakaya Kikwete akielekea ofisini kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili  kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE leo, katikati ni Dr. Abdallah Kigoda Waziri wa Viwanda na Biashara na kulia ni Mkurugenzi wa Biashara ya Nje TANTRADE  Bi. Anna Bulondo5Rais Jakaya Kikwete akiangalia majiko ya mkaa katika moja ya mabanda ya Kenya6Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Ofisa Mauzo Mwaandamizi wa kampuni ya Gold Finger Investiment Bi.Beatrice Kibanya wakati alipoteaembelea banda hilo.8Rais Jakaya Kikwete akipiga picha na baadhi ya vijana kwenye banda lao la Forever Living10Rais Jakaya Kikwete akipiga picha na baadhi ya vijana kwenye banda lao la Forever Living1112Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Bw.Babar Hussain wa kampuni ya kuteneneza viatu ya Zubair Shoes.13Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Bw. Edwin Wekefield wa kampuni ya Mimic Craftis kutoka nchini Afrika kusini inayojishughulisha na masuala ya mawasiliano.14Mshauri wa jeshi la Magereza Bw. Alferio akitoa maelezo kwa Rais jakaya Kikwete kuhusu kofia bora za kujikinga waendesha pikipiki wakati alipotembelea katika banda la Mafereza 15Rais jakaya Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya nje wakati alipotembelea katika banda hilo leo Mh. Rais Jakya Kikwete aliwahi kushika wadhifa wa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa. 3Rais jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Bi Hoyce Temu Mtaalamu wa Mawasliano wa Umoja wa Mataifa (UN)wakati alipotembelea banda hilo leo na kupata maelezo mbalimbali ya shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini.4Rais jakaya Kikwete akizungumza na vijana waliofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali  wa tatu kutoka kulia nji Bi Hoyce Temu Mtaalamu wa Mawasiliano wa umoja wa Mataifa (UN)
17Rais jakaya Kikwete akimsalimia  mtoto ambaye jina lake halikufahamika mara moja wakati akitembelea katika mabanda mbalimbali kwenye viwanja vya Sabasaba leo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!