Pages

Thursday, 17 July 2014

RAIS KIKWETE AELEKEA RUVUMA KWA ZIARA YA KIKAZI YA WIKI MOJA

a1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na Kamishna wa Polisi Msaidizi Mwandamizi (SACP) Mary Nzuki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 17, 2014  wakati akipanda ndege kuelekea mkoani  Ruvuma kuanza ziara ya Kikazi ya wiki moja ambapo atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi. Kati kati ni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)  Hamisi Selemani, Kamanda wa Polisi katika Uwanja huo wa ndege. PICHA NA IKULU 

No comments:

Post a Comment