Sunday, 27 July 2014
NENO LA LEO! TOKA KWA MDAU FADHIL HAMIS
Wengi Wapatao Mafanikio Huamini Kuwa Kurudi Nyuma Ni Suala Gumu Sana, Huku Wakisahau Kuwa Ni Rahisi Mtu Mzima Kuwa Mlemavu Kuliko Kiwete Kutembea!!! Matatizo Ni Sehemu Ya Maisha Kwani Huwezi Kula Mua Bila Kukuta Fundo. Popote Unapoanguka, Inuka Jiulize Kipi Kimekuangusha Rekebisha Kisha Endelea Na Safari. Kumbuka Heri Ugali Kwa Chumvi Kwenye Amani Kuliko Wali Nyama Vitani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment