Pages

Monday, 28 July 2014

MWILI WA DEREVA BAJAJI WAKUTWA MBEZI DAR ES SALAAM

 Mwili wa Erick 'Ras Kiduku' kama ulivyokutwa eneo la tukio.

Ufunguo wa Bajaj aliyokuwa akiendesha marehemu Ras Kiduku.
MWILI wa kijana ambaye ni dereva wa Bajaj aliyejulikana kwa jina la Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa ukiwa umetupwa eneo la Kilongawima, Africana-Mbezi jijini Dar es Salaam. Pembeni ya mwili huo, ulikutwa ufunguo wa Bajaj yake ambayo ilikutwa imetelekezwa barabarani jirani na mwili wa marehemu ulipokutwa.CHANZO GPL

No comments:

Post a Comment