Thursday, 24 July 2014

MTOTO MARY APATIAKANA AKIWA HAI, ALIIBWA CHANGANYIKENI KAPATIKANA TANDALE.MWIZI WAKE AKAMATWA.

Mungu mkubwa jamani tumshukuru maana mtoto Merry amepatikana na huyo kulia naskia ndo aliyemuiba. 


Wapenzi kwa uwezo wa Mungu mtoto Maryline amepatikana.Aliibwa changanyikeni kapatikana Tandale.Huyo pembeni mwenye blue ndio mwizi mwenyewe alikuwa houseboy wao zamani.Kwa nini alimuiba?je yupo salama na afya njema?wazazi hawajapatikana bado kuongea simu zimezima. Habari zaidi zitawaijia tutakapo zipata.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!