Msaada tutani: mtoto aibwa changanyikeni leo, ataemuona atoe taarifa polisi
MTOTO KAIBIWA CHANGANYIKENI LEO ANAITWA MARLYN. ATAKAEMUONA NNAOMBA ATUSAIDIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE. AMEIBIWA NA MKAKA KANYOA PANK. Please upatapo ujumbe huu mfowardie na mwenzako
aziz bilal14:25
ReplyDelete1
Reply
Huyu tena yuko adorable sana na ndio maana mtu kamuona na kuamua kumuiba,inshaallah atapatikana soon na salama.