Mkurugenzi Mkuu wa Delina Groups Inc. Super Mogul Davis Mosha mwenye njano akiwafuturisha wananchi nyumbani kwake muda mchche uliopita, Mwenyekiti huyo wa zamani wa Yanga amekuwa akiwafuturisha wananchi nyumbani kwake kwa takribani Miaka 15 sasa.
Kila mfungo wa Ramdan unapofika huwafuturisha wananchi wengi asiowafahamu nyumbani kwake kila siku mpaka mwisho wa mfungo. Kazi hiyo hufanywa na mkewe hata Kama Super Mogul Mosha akiwa hayupo amesafiri kama wiki nzima iliyopita. Mmoja kati ya wananchi hao ambaye amekuwa akifuturu hapo kwa miaka kama 10 sasa alisema kwamba ni thawabu kubwa sana kutoka kwa Mungu kwa Mosha kwa kitendo anachokifanya. |
aziz bilal12:34
ReplyDeleteaziz bilal12:34
1
Reply
Hata mjini Mwanza tunaye bilioneer mmoja mkristo yeye huwa anafuturisha watu kila mwezi mtukufu na pia hubadilisha jina lake na hujiita Omar Gachuma kila ufikapo huu mwezi mtukufu