Mke wa Rais na Mwenyeiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizungumza na Bwana Barry Segal, Mwanzilishi wa Taasisi ya Segal Family ya nchini Marekani wakati walipokutana kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi hiyo ya kimarekani uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto huko Arusha tarehe 10.7.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mheshimiwa Mwanaidi Maajar ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Segal ya nchini Marekani. Viongozi hao walikutana huko Arusha katika hoteli ya Ngurdoto unakofanyika mkutano huo ambao Mama Salma alialikwa kuuhutubia (keynote addres) tarehe 10.7.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto huko Arusha tarehe 10.7.2014.
Baadhi ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa Ngurdoto taehe 10.7.2014.

Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family ya nchini Marekani kwenye ukumbi wa Ngurdoto huko Arusha tarehe 10.7.2014. Waliokaa kutoka kulia ni Mwanzilishi wa Taasisi ya Segal Bwana Barry Segal akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Stanslaus Mulongo.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Segal Family Bwana Barry Segal akimpongeza Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kutoa hotuba ya kusisimua kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi hiyo tarehe 10.7.2014.
PICHA NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment